Side effects ya hizo dawa sio leo au kesho ni baada ya miaka 5 hadi 15, kwahiyo wazee wa miaka 55 na kuendelea huenda wa sione hayo madhara ila vijana na watoto, wakapata madhara badaye wakiwa wazee, huwezi kutegeneza chanjo ndani ya miazi sita wakati majaribio wa chanjo yoyote inahitaji mda usiopungua miaka 5.