KERO Dala Dala Za Mbeya Zinakera Sana Kwa Kushindwa Kufika Mwisho Wa Safari

KERO Dala Dala Za Mbeya Zinakera Sana Kwa Kushindwa Kufika Mwisho Wa Safari

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Hepatis B

Senior Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
193
Reaction score
155
Habari wakuu!

Jiji la Mbeya ni moja ya miji unayokuwa kwa kasi sana, hongereni wana Mbeya ila shida ni dala dala kushindwa kufika mwisho wa safari.

Hapa namaanisha kufaurisha abiria kisa wamepungia kwenye gari.

Hii ni kero sana nimeona kwangu.
 
Hapo Mbeya ukipanda daladala,kila kituo anajulikana ni nani huwa anapanda,asipoonekana muda aliozoeleka kuwepo stand lazima mmsubirie aoge ndiyo muondoke, usafiri wa umma hapo bora Bajaji tu,ila hivyo vipanya utakesha..........
 
kumbe unafaulishwa nilidhani wanakuacha njiani😂😂😂ila huko bajaji ni nyingi panda tu bajaji
 
Back
Top Bottom