Hepatis B Senior Member Joined Feb 11, 2013 Posts 193 Reaction score 155 Jul 8, 2024 #1 Habari wakuu! Jiji la Mbeya ni moja ya miji unayokuwa kwa kasi sana, hongereni wana Mbeya ila shida ni dala dala kushindwa kufika mwisho wa safari. Hapa namaanisha kufaurisha abiria kisa wamepungia kwenye gari. Hii ni kero sana nimeona kwangu.
Habari wakuu! Jiji la Mbeya ni moja ya miji unayokuwa kwa kasi sana, hongereni wana Mbeya ila shida ni dala dala kushindwa kufika mwisho wa safari. Hapa namaanisha kufaurisha abiria kisa wamepungia kwenye gari. Hii ni kero sana nimeona kwangu.
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Jul 8, 2024 #2 Hapo Mbeya ukipanda daladala,kila kituo anajulikana ni nani huwa anapanda,asipoonekana muda aliozoeleka kuwepo stand lazima mmsubirie aoge ndiyo muondoke, usafiri wa umma hapo bora Bajaji tu,ila hivyo vipanya utakesha..........
Hapo Mbeya ukipanda daladala,kila kituo anajulikana ni nani huwa anapanda,asipoonekana muda aliozoeleka kuwepo stand lazima mmsubirie aoge ndiyo muondoke, usafiri wa umma hapo bora Bajaji tu,ila hivyo vipanya utakesha..........
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,104 Reaction score 29,178 Jul 8, 2024 #3 kumbe unafaulishwa nilidhani wanakuacha njiani😂😂😂ila huko bajaji ni nyingi panda tu bajaji
THE BEEKEEPER JF-Expert Member Joined Feb 23, 2024 Posts 1,462 Reaction score 7,157 Jul 8, 2024 #4 Dala Dala za wapi newyork city London, Washington mbeya kama ulaya cold kama tupo england
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Jul 8, 2024 #5 Yaan full kufaulishwa😭
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 Jul 8, 2024 #6 Mh Spika hili nao limfikie...
Hepatis B Senior Member Joined Feb 11, 2013 Posts 193 Reaction score 155 Jul 8, 2024 Thread starter #7 Amehlo said: kumbe unafaulishwa nilidhani wanakuacha njiani😂😂😂ila huko bajaji ni nyingi panda tu bajaji Click to expand... Issue hapo ni kero! Shida bajaji kuna root wamekataza.
Amehlo said: kumbe unafaulishwa nilidhani wanakuacha njiani😂😂😂ila huko bajaji ni nyingi panda tu bajaji Click to expand... Issue hapo ni kero! Shida bajaji kuna root wamekataza.