Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Yani unapata daladala mademu wamevaa vinguo fulani hivi laini vimeingia kwenye ikweta halafu anakususia mzigo wote uangaike nao, uku akikupa sapoti kdogo ya kujiweka vzuri usawa wa abdala pale labda mtu kashuka unakuta formation umeparanganyuka hvo atafanya juu chini arudi tena usawa wa abdala kchwa wazi, yan hawa mademu wanaosoma na kufanya kazi uku maeneo ya mwenge na viunga vyake ni wanawake waelewa na shepu wanazo na huruma pia kutusaidia sisi kaka zao yan kuna mtu unahisi kama upo peponi na mabikira 72 kumbe upo na customer care wa duka moja pale mlimani. KWELI SINZA RAHA