A Anonymous Guest Mar 16, 2026 #1 Hivi kwanini daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote? Yanatakiwa kuishia Buza lakini hayafiki yanaishia Tandika. Hali hii imekuwepo kwa muda wa miaka miwili sasa nah atua hazichukuliwi kama nilivyosema.
Hivi kwanini daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote? Yanatakiwa kuishia Buza lakini hayafiki yanaishia Tandika. Hali hii imekuwepo kwa muda wa miaka miwili sasa nah atua hazichukuliwi kama nilivyosema.
Bani Israel JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 2,284 Reaction score 4,595 Jul 5, 2026 #2 ni mateso sana
Bani Israel JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 2,284 Reaction score 4,595 Jul 5, 2026 #3 Moderator hii kero ni serious wakuu tusaidieni kupaza sauti
bullbar JF-Expert Member Joined Oct 21, 2014 Posts 485 Reaction score 830 Jul 5, 2026 #4 Anonymous said: Hivi kwanini daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote? Yanatakiwa kuishia Buza lakini hayafiki yanaishia Tandika. Hali hii imekuwepo kwa muda wa miaka miwili sasa nah atua hazichukuliwi kama nilivyosema. Click to expand... kwa hiyo mianane yako unataka utoke mbande mpaka tegeta sio..
Anonymous said: Hivi kwanini daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote? Yanatakiwa kuishia Buza lakini hayafiki yanaishia Tandika. Hali hii imekuwepo kwa muda wa miaka miwili sasa nah atua hazichukuliwi kama nilivyosema. Click to expand... kwa hiyo mianane yako unataka utoke mbande mpaka tegeta sio..
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,595 Reaction score 39,893 Jul 5, 2026 #5 Ni kero Sugu hii
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,595 Reaction score 39,893 Jul 5, 2026 #6 Bani Israel said: ni mateso sana Click to expand... Halafu unakuta watu kama hawa Wanataka serikali iwatendee haki wakati wanawanyima abiria haki zao
Bani Israel said: ni mateso sana Click to expand... Halafu unakuta watu kama hawa Wanataka serikali iwatendee haki wakati wanawanyima abiria haki zao
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,595 Reaction score 39,893 Jul 5, 2026 #7 Bani Israel said: Moderator hii kero ni serious wakuu tusaidieni kupaza sauti Click to expand... Wafute Buza waandike Tandika tu tujue moja
Bani Israel said: Moderator hii kero ni serious wakuu tusaidieni kupaza sauti Click to expand... Wafute Buza waandike Tandika tu tujue moja