KERO Daladala za Mbezi – Makumbusho zinaishia Magomeni, abiria tunateseka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Tunapata changamoto Magari ya Mbezi To Makumbusho Via Kimara Hayapakii Ruti Ya Makumbusho yanaishia Magomeni Ni Kero Kwa Abiria Wengi Ndani ya Stendi ya Mbezi Luis.
View attachment 3583755
Ikishafika jioni hivi wanakuwa wakorofi sana. Hata zile zinazotoka makumbusho sasa kuanzia saa 12 jioni zinabadilisha route, badala ya kwenda mpaka Mbezi utasikia zinaelekea Mabibo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…