KERO Daladala za Morocco/ Makumbusho - Bunju hawatambui bei mpya za daladala, kwa hiyo LATRA hamjui?

KERO Daladala za Morocco/ Makumbusho - Bunju hawatambui bei mpya za daladala, kwa hiyo LATRA hamjui?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Daladala tajwa hapo juu siku si nyingi zimelalamikiwa. Ukipanda daladala kutoka Makumbusho kwenda Chama au MagengenI wanakulazimisha ulipe 1100 maugomvi mengi yanatokea kila siku.

Mfano ukapandia Boko au Chama kwenda Makumbusho wanataka ulipe 1100
 
Back
Top Bottom