Daladala za Mpiji - Magohe hii njia ukiwa unapita kwa Magufuli kusogea huku nauli ni Shilingi 800 ila wamekuwa wakiwatoza watu elf moja na LATRA wapo tu, hawafanyi chochote, naamini wanajua kinachoendelea kwa kuwa kuna maafisa wao huku.

Ufuatiliaji hakuna toka mwaka juzi napiga simu Latra kuwajulisha daladala za temeke kwenda kigamboni ferry wanatoza nauli 700 badala ya 600 hakuna walichofanya,sasa hivi wanatoza 800 badala ya 700 hakuna pa kusemea.