PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,437
Nakumbuka nilikuwa nimesimama barabarani , daladala ikaja, yule kondakta akaniuliza "unaenda"? Nikamjibu "ndio'' dah yule kondakta akaniambia "Gari sio mbo*o ikikuona isimame, ukiona gari simamisha'"
Dah! tangu siku iyo nilianza kujichanga ninue gari yangu, ila mpaka leo ikifika 100000 napata shida naitumia..
Je ni kitu gani uliwahi kuambiwa na kondakta mpaka leo unakumbuka?
Dah! tangu siku iyo nilianza kujichanga ninue gari yangu, ila mpaka leo ikifika 100000 napata shida naitumia..
Je ni kitu gani uliwahi kuambiwa na kondakta mpaka leo unakumbuka?