Super Charged
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 947
- 1,710
Tena hilo eneo inatakiwa iwe hata elf 80Chumba self na sebure na jiko tena kwenye fance upate kwa 150 magomeni kati hapo mkuu?
Duuh oky mkuuTena hilo eneo inatakiwa iwe hata elf 80
Nimepata Kaka Kwa Hiyo Bei Na Iko Kwenye FenceChumba self na sebure na jiko tena kwenye fance upate kwa 150 magomeni kati hapo mkuu?
Hongera sana mkuu. Ni bei nzuri umepataNimepata Kaka Kwa Hiyo Bei Na Iko Kwenye Fence
Hongera sana kaka,Sasa subiri kipindi Cha Mvua ndiyo utajua Umepata au Umepatikana!!Nimepata Kaka Kwa Hiyo Bei Na Iko Kwenye Fence
Tena hilo eneo inatakiwa iwe hata elf 80
Nimepata Tena Kizur tu.Sema Mtu Anaposema Magomeni Kanisani, Mikumi au Usalama Mtu Anadhan Ni Pembeni Ya Kituo Cha Mwendokasi Tu.Elimu InahitajikaUnataka kupanga chumba ama jalala kwa bei hiyo?
Haiathiriwi Na Mvua Ni Sehemu Nzuri tu Mkuu.Hongera sana kaka,Sasa subiri kipindi Cha Mvua ndiyo utajua Umepata au Umepatikana!!
Kwani zile mvua zetu za masika zimeshapiga tangu uhamie!? Zile mvua ambazo zinapiga hadi Jangwani panafungwa kisa Maji yamezidi kupita kiasi!? Kama tayari hizo mvua basi uko safe!!Haiathiriwi Na Mvua Ni Sehemu Nzuri tu Mkuu.
OkKwani zile mvua zetu za masika zimeshapiga tangu uhamie!? Zile mvua ambazo zinapiga hadi Jangwani panafungwa kisa Maji yamezidi kupita kiasi!? Kama tayari hizo mvua basi uko safe!!