Bongo Contents
Member
- Jan 17, 2024
- 47
- 71
Hujamuelewa hoja yakeUmeme masaa 24 (labda mpaka tanesco wakate)
We unadhani tanesco wanaweza kukuchia umeme 24hrs
Hoja yake ni kwamba nyumba isiwe na migogoro ya kukatika umeme mfano luku kuisha halafu wapangaji wengine wanakuwa wasumbufu kununua. Ukikatika iwe ni tanesco wamekataUmeme masaa 24 (labda mpaka tanesco wakate)
We unadhani tanesco wanaweza kukuchia umeme 24hrs
Ety bado sijapata duuh! Ngoja nikazurure kitaa labda nitabaatishaHoja yake ni kwamba nyumba isiwe na migogoro ya kukatika umeme mfano luku kuisha halafu wapangaji wengine wanakuwa wasumbufu kununua. Ukikatika iwe ni tanesco wamekata