Dalali Adam Msumi
Member
- May 28, 2021
- 61
- 19
- Thread starter
-
- #21
Note: Nyumba mpya, ndiyo ipo Kwenye hatua ya ukamilishwaji..Chumba na Choo chake ndani ( Masta)
Ina:
#Majidawasa #Umemelukuyake #Fensi #Parking #Usalamawote
Kodi ya Mwezi: Tshs 150,000
Mahali: Mbezibeach karibu Shule ya Kilimani - barabara ya Goba/Mbezibeach.
Wasiliana: 0716442950 // 0686648630View attachment 1822034View attachment 1822035View attachment 1822036View attachment 1822038
Nyumba ipo Sehemu nzuri, huduma zote zinapatika kwa urahisi. Huduma ya maji ya dawasa/bomba, Umeme wa tanesco masaa24, barabara nzuri hadi kwenye nyumba.
Biashara haina zengwe, mwenyenyuma ana nyumba nyingine pembeni anahishi hapo. Matatizo ndiyo yanamfanya aiuze.
Maelezo Zaidi: 0716442950View attachment 1822710
Nilipitiwa Kuattach picha, Umefanya kitu kizuri Kunikumbusha.Picha tafadhali...
Uliza swali?Dah.
Tangi Bovu kumegeuka Uswazi hivi?..
Kwani Tanzania toka lini imeanza kuwa kama marekani?Dah.
Tangi Bovu kumegeuka Uswazi hivi?
I know Mbezi Beach was going to the dogs, but damn.
Is this for real?
Huu upande wa juu right?