Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Nina moyo wa chuma ,usoruhusu mtu wa ziada kuniumiza.Kwani wewe ni chuma
Hiyo namba 5 ukweli mtupu, sometimes wanakasirika bila sababu, mimi wa kwangu alikuwa yupo vizuri ana shepu ya maana,akaniambia tuachane huku akajitapata anarudi kwa ex wake , baada ya miezi mitatu alirudi kunitafuta nikamfungia vioo mazima, alimtafuta mpaka sister wangu amwombee msamaha miaka miwili mfululizo bado nikala bati,nilitaka nimtumie kingono ila sema tu brother wake ni mshikaji wangu sana na yule binti alikuwa ktk plan zangu kabisa za kuoa, ila alizingua mwenyewe.1.ukiona mpenzi wako kila unapomuomba tendo la ndoa anakwambia subili au usubili au unakupiga kalenda ujue bado hajaachana na ex wake
2.ukiona mpenzi wako kila mkiongea anataka uwe unaongea point
3.ukiona mpenzi wako kipindi akiwa na shida huwa ana speed sana ya kukutafuta alafu shida ikiisha speed inapungua
4.ukiona ndani penzi lenu mpenzi wako hana wivu wewe ujue bado yupo na ex wake
5.ukiona mpenzi wako kitu kidogo mkikosana anataka muanze kupeane break
6.ukiona mpenzi wako ukianza kumpotezea yeye ndo anaanza kukutafuta kwa kasi ya 4G ujue tiyali
haya unaweza kuendeleaa
My Man take 5 brother. Kwa wanaume wote kipaombele chako kwenye maisha kiwe familia na kusaka hela period.Nina moyo wa chuma ,usoruhusu mtu wa ziada kuniumiza.
Mambo ya kuniumiza ni mambo mazito ya kifamilia au maisha
Lkn sijui demu na mapenzi ,thubutuuu!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kuongezea ukiona1.ukiona mpenzi wako kila unapomuomba tendo la ndoa anakwambia subili au usubili au unakupiga kalenda ujue bado hajaachana na ex wake
2.ukiona mpenzi wako kila mkiongea anataka uwe unaongea point
3.ukiona mpenzi wako kipindi akiwa na shida huwa ana speed sana ya kukutafuta alafu shida ikiisha speed inapungua
4.ukiona ndani penzi lenu mpenzi wako hana wivu wewe ujue bado yupo na ex wake
5.ukiona mpenzi wako kitu kidogo mkikosana anataka muanze kupeane break
6.ukiona mpenzi wako ukianza kumpotezea yeye ndo anaanza kukutafuta kwa kasi ya 4G ujue tiyali
haya unaweza kuendeleaa
Habari ndo hyo mkuu umeuaMimi nkijua mtu anawasiliana na Ex wake io stori inaishia hapo simuamini tena
Na nisipomuamini na mapenzi yanaisha
Short and clear
EewaahHabari ndo hyo mkuu umeua
Kwa kuongezea ukiona
Ukiona tuu mpenzi wako kipindi cha sex hakatiki kiuno ujue huyo bado hajawa rasmi wa kwako
Kwa ground ukute wewe ndio mhanga mkubwa wa matesoNina moyo wa chuma ,usoruhusu mtu wa ziada kuniumiza.
Mambo ya kuniumiza ni mambo mazito ya kifamilia au maisha
Lkn sijui demu na mapenzi ,thubutuuu!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii comment ngoja niitunze kwa matumizi ya badae.Na kwann upenzike namtu ambaye hajawa tayari kwako, hatima iwe ni mawazo,hofu, presha n.k??
Mie naona huo ni upotevu wa muda