Dalili gani utaziona kwa msichana ambaye hajavutiwa kuwa nawe kimahusiano ( kiurafiki + kimapenzi ) pale unapoanzisha mitongozo?

Dalili gani utaziona kwa msichana ambaye hajavutiwa kuwa nawe kimahusiano ( kiurafiki + kimapenzi ) pale unapoanzisha mitongozo?

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Kujua kutasababisha kuokoa mda utakaosaidia katika kulijenga taifa.

Utakuta umewekeza zaidi ya miezi miwili kwa mtoto wa mtu, mwisho wa siku ni kutokujibiwa text, kublokiwa, na kadhalika. Unakuwa umepoteza mda wako bure.

Utajuaje hapa napoteza mda na huyu msichana ajavutiwa nami. Ukute men ni msafi na pesa ipo wakuu Ila chaga kila kukicha
 
Mwanaume anayejielewa ni rahisi kujua mtu asiye na habari na wewe mapema

Mfano,kama simtaki mtu namwambia ukweli,akiendelea kuukataa ukweli sijibu texts wala calls zake
Utachoka tu

Hatua ya block huwa ya mwisho sana nayo uwe msumbufu ile ile ama utukane
 
Indicator moja wapo haobey unachomwambia/ muelekeza kimbia usiangalie nyuma utageuka jiwe la chumvi.
 
1. Kuchelewa kujibu sms zako. Ukituma saa nne atajibu saa kumi.

2. Atakuambia yupo busy.

Mwanamke yeyote ambaye ni wako ukimwambia jambo hakatai.
Husemwa kuwa ukiweza kutambua na kutafsiri vitimbi vya wanawake ujue kuwa unakaribia kufa. Hivyo hayoo yoote ukifanyiwa ukiwa na umri mkubwa ndo utajua hupendwi au hutakiwi ila ukiwa kijana utaongeza juhudi na kuumizwa zaidi
 
Ukimpa hela akikataa ujue hakutaki..
 
Back
Top Bottom