Husemwa kuwa ukiweza kutambua na kutafsiri vitimbi vya wanawake ujue kuwa unakaribia kufa. Hivyo hayoo yoote ukifanyiwa ukiwa na umri mkubwa ndo utajua hupendwi au hutakiwi ila ukiwa kijana utaongeza juhudi na kuumizwa zaidi1. Kuchelewa kujibu sms zako. Ukituma saa nne atajibu saa kumi.
2. Atakuambia yupo busy.
Mwanamke yeyote ambaye ni wako ukimwambia jambo hakatai.
Huu mwandiko mbona kama wa mpenzi wangu.Indicator moja wapo haobey unachomwambia/ muelekeza kimbia usiangalie nyuma utageuka jiwe la chumvi.
Na wewe ulivyoandika kama nakujua.Huu mwandiko mbona kama wa mpenzi wangu.
Na wewe ulivyoandika kama nakujua
🙂Na wewe ulivyoandika kama nakujua.
KashachemkaHahahaaa uyo anataka akukule kimasihara ili aje ajisifu