Dalili kubwa ya uzalendo uliopotea

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Siku ukiona watu hawapendi vya kwao na wa kwao bila sababu ya msingi basi fahamu kuwa uzalendo hakuna.

Hebu ona sasa hivi timu zinatafuta makocha kutoka Burundi, Rwanda, Malawi, Congo, Malawi, Zambia, Kenya ambako hata huko hakuna mafanikio kwenye mpira. Tunawapa ajira wageni wasiokuwa na tofauti kubwa na watu wetu.

Eti Wachezaji 10 wageni kila klabu, he.

Nani ameturoga?
 
Ligi za wenzenu mnakojifunza wachezaji wa kigeni mwisho wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…