#COVID19 Dalili Kuu Nne za Wimbi la Tatu la COVID-19

Huu mzigo ni ngumu Sana kukabiliana nao

Waenda kwa mawimbi:

#1. Vikiwemo vifo bungeni 2020
#2. Vikiwemo vifo vya vigogo mapema 2021
#3. Vikiwemo hivi vifo vya ghafla karibuni

Kila mmoja hata tuliopo leo hasa walume, wenye magonjwa mengine, wazee na wasio chanjwa ni suala la muda tu. Kila mtu kwa wakati wake na wimbi lake atapeleka ripoti kwa kiongozi wa malaika.

Yasemekana mawimbi haya hayana mwisho. Kwamba Japan anacheza sasa na 5g.

Hili si saizi yetu. Tuwasikilize wenye mbavu zao!
 
Unapoambiwa kuna malaria kwa nini hufi kwa woga wakati malaria inaua watu wengi zaidi? Unapoambiwa kuna ukimwi na kutajiwa dalili zake kwa nini hufi kwa woga. Unapoambiwa kuna magonjwa ya moyo, kisukari au kipindupindu kwa nini hufi kwa woga?

Kutambua na kukiri upungufu ni kitendo cha maendeleo. Mbona kazi?
 
Lengo ni biashara ya chanjo tu, korona haiwezi kuisha kabla hatujauza chanjo zetu kwa faida kubwa…. ama project babe fuvk all you expect from me.
 
Ma Madaktari walikua wapi Zama za Mwendazake?
 
Magufuli aliwakomboa sana kifikra watanzania.
Katiba ,lockdown, barakoa uolewaji wa lema na lisu,chanjo zote ni porojo zilizopuuzwa na wananchi
Alafu mkifa mnasingizia mmepewa sumu na wastaafu
 
Covid ni ngumu sana kupambana nayo sababu ni airborne, plus hii makitu virus wake kuweza hata kuishi kwenye hard surfaces kwa muda mfupi
 
Ugonjwa wa kwenye smartphone na TV
 
Acheni kusambaza hofu wendawazimu nyie, Madalali wa chanjo punguzeni njaa basi, khaa...
 
Hatununui chanjo, hata kama zinakausha damu, madalali punguzeni njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…