Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Unapompatia namba yako ya simu, yeye ndio anakuwa wa kwanza kukutafuta, iwe kwa meseji au kwa kukupigia. Lakini wengi sisi huwa tunakosea, unakuta wewe ndio uliyempatia namba yako ya simu na unakuwa wewe ndio wa kwanza wa kumpigia mara kwa mara bila yeye kukutafuta, hiyo inaitwa kujipendekeza au kulazimisha usipopendwa. Matokeo yake, unatendwa na unakuja kulia lia huku JF.
Kuwa na msimamo huu, ukitoa namba ya simu subiri utafutwe, na si wewe kumtafuta uliyempa namba ya simu.
NB: Hii njia inatumika pale unapotafuta mke/mume
Kuwa na msimamo huu, ukitoa namba ya simu subiri utafutwe, na si wewe kumtafuta uliyempa namba ya simu.
NB: Hii njia inatumika pale unapotafuta mke/mume