Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Ni kwanini masikini huwa wanafurahi sana wakiona tajiri kapata matatizo?Nafsi zao zinasuuzika sana wakiona tajiri kapata majanga! Yaani roho fulani hivi za kichawi.
Yaani badala wajifunze kwa waliofanikiwa wao kwao ni furaha eti "tumefanana".
Si ajabu kuwakuta sehemu wamekaa wakiteta kwa furaha eti" afadhali,alikua anaringa sana haya kiko wapi?" Hivi tajiri akifanikiwa si ndio na wewe utapatia hapo hapo?
Ifike mahala tubadilike,tutambue matatizo ni sehemu ya maisha..kufurahia matatizo ya wengine ni uchawi tosha!