Hali ya hewa katika jiji la Dar es Salaam ni ya mvua ya rasharasha. Haieleweki ndio mvua masika inaanza au nini? Kama ndio masika watu wa hali ya hewa waanze kutoa tahadhari kwa watu wa mabondeni.
Ninchotaka kwaeleza hawa ndugu zangu wa mabondeni kama vile Jangwani na maeneo mengine ya mabondeni waanze kuhama kinyume na hapo mvua itwaondoa kwa mafuriko..
Pia manispaa za Ilala, Kinondoni na Temeke ziweke mikakati ya kina ili kuwaokoa watu waishio mabondeni.
Masika mwezi wa Tisa? mmh hii mpya au ndio mambo ya global warming....