Elections 2010 Dalili ya ushindi wa kushindo kwa chadema imekwishaonekana


According to hiyo nadharia yako, aliyekupa hiyo theory alikuwa anamaanisha kwamba:

Kundi A - ni wale ambao wanataka ku-maintain status quo, yaani wanaogopa upinzani kuingia madarakani kwa kudanganywa, kutishiwa au kupewa ahadi hewa.

Kundi B - Hili ni la wapiga kura ambao wanataka upinzani uingie madarakani wakitarajia kwamba yatakuja mabadiliko mara chama kutoka upinzani kikishinda.

So far kuna vyama vitatu ambavyo vina ushawishi kwenye nafasi za wagombea wa Urais, navyo ni CCM, CHADEMA na CUF.

From this point onward, naomba nitofautiane na theory yako. Kama assumptions zangu hapo juu ziko sahihi, kinachogombewa kwa sasa ni kuongeza kura za vyama upinzani. Kwa hiyo kura za kundi A, ni kama ulivyosema zitaganywa kwenye vyama vitatu. Kwa maneno mengine wapiga kura walioipigia CCM mwaka 2005, wapo ambao watapigia kura CHADEMA na CUF kwenye nafasi za urais. Practically, hicho ndicho kilichotokea kwenye chaguzi ndogo za Kiteto, Busanda na Bihalamuro. Chadema ilipata asilimia kubwa kuliko walizopata kwenye uchaguzi wa 2005 [hapo bado hujapiga factor ya uchakachuaji].

Kura za kundi B zitagawanywa kwa vyama B na C, ambavyo ni CHADEMA na CUF. Nimefuatilia kampeni za CHADEMA na CUF, base yao ya wapiga kura iko solid, sasa hivi wanajaribu kushawishi walioipigia kura CCM mwaka 2005, wapigie vyama vyao. Hapa naogopa kutaja kwamba chama fulani kitapata nyingi na chama fulani kitapata chache kwa sababu ya conflict of interest.

Lakini, angalizo, ukiangalia kampeni za CCM pamoja na siasa za maji taka zinazoendeshwa kwa sasa, you can easily guess which party is a threat to CCM, kazi kwako.
 

Nilipotofautiana na Theory yako ni hapo kwenye Bold, ama kuna confusion [maana kundi a naona umelirudia mara 2] au inawezekana hicho ndicho kilichokuogopesha.
 
Nitakuja kuchungulia hapa post october 31st!
 
CCM pia wataosa kura zifuatazo
1.wanawake watakaokuwa na jukumu la kulea vichanga
2.watakaouwa menstrual period
3.wenye ujauzito mkubwa
4.wasiojua kusoma na kuandika wamepungua
5.mafisadi watakuwa kwenye dili zao za hela hivyo kuchoka kupiga kura
6.mapedeshee na wasanii ambao hawapendi kupanga foleni
7.wazee wa kujipendekeza UDOM ambao kwa taarifa mpaka sasa hawajapewa pesa ya field hivyo kuchukia
8.wakina dada watakaopigwa vibuti siku moja kabla ya uchaguzi watakuwa na stress
9.kwa kuwa ccm wanadai kuwa na wanachama wengi katika familia zitakazokuwa na matatizo kama yale ambayo huwa sipendi kuyazungumzia watakuwa wana ccm
10.waliochakachuliwa kwenye kura za maoni na kuingi upinzani wameonekana kuwa na nguvu
 
Dalili sawa ziko wazi, ila tujiulize ccm wako tayari kufungasha virago? tusije kuwa another Kenya or rather Zimbabwe. Ninachoomba come 31st oct wote twende tupige kura. Kama hatujapata ikulu at least tuwe na majority kwenye bunge ili tukomeshe hiyo arrogance wanayotumia kupitisha miswada mibovu
 

Asante kwa kazi nzuri, ila tusilale. Tupambane hadi siku ya kura 31.10. Hapa linalotakiwa ni kuwaelimisha wananchi wetu kuwa ni Chadema tu ndiyo itatuletea ukombozi. Wapige kura ili kuiletea ushindi Chadema.

Baada ya kupiga kura tuhakikishe kura zinalindwa. CCM ni wezi waliokubuhu. Wana mbinu nyingi za kuiba. Mbaya kuliko yote ni kuwahonga mawakala wa vyama vya upinzani wakati wa majumuisho.
 

Tunaomba kura yako Mganyizi.
 

Kawaaibisha wewe na nani mkuu?:confused2:
 
Wewe ndio mkabila - hata huyo anayegombea urais kupitia CHADEMA naye ni mchagga?
 


Hapo ndipo mnaponichosha mashati ya green!!! Mnajivunia kuwa na wazalendo wasiojua hata umbo la computer!!!
 
A ni CCM, B ni CHADEMA na C ni CUF.CHADEMA BAADA YA KUINGIA DR SLAA IMEPANDA CHATI MNO NA CUF IMEPOTEZA MWELEKEO WAKE. WATANZANIA WENYE DESTURI YA KUIPIGIA KURA CCM WATAIPA KURA CHADEMA NA WACHACHE WATAIPA CUF. NA PIA WANACHAMA WOTE WA CHADEMA WATAPIGA KURA CHADEMA. CCM WATAKOSA KURA NYINGI ZA WATANZANIA NA KWA HALI HIYO WATATEGEMEA KUIBA KURA NA KURA CHACHE ZA WA-CCM. HATA HIVYO KUIBA KURA HAITASAIDIA MAANA UTATUMIA MBINU GANI KUIBA MFANO KURA MIL 2 USIZOPIGIWA WEWE? KWA MAANA HII RAIS ATATOKA CHADEMA. WABUNGE WENGI WA CCM WATAKOSA KUCHAGULIWA NA HIVYO CHADEMA ITAPETA. GO DR SLAA! GOD BLESS YOU.
 
ukweli unauma.....hata wana ccm wanapoujua ukweli namna hii wengi wanabadili tabia wanaiacha ccm...wnakula pilau na pombe za kienyeji lakini hawako tayari tena kuichagua............
 
Hii hapana! hii ilikuwa zamani kaka..

Mkuu, nimesema hivyo nikiwa naelewa kitu ninacho kiandika.. nimejuzi tu nilikutana na baadhi ya vijana ambao niliwauliza wamejiandaa vipi na uchaguzi,jibu walilo nipa nilitapani kuwapiga makofi, eti

"hakuna chama kingine zaidi ya CCM hivi vingine ni vyama vya kihuni tu, CCM ndiyo imetulea hivyo lazima tuipigie kura"


Niliwatazama nika wapa somo ya jinsi CCM hilivyo na jinsi nchi inacyo kwenda huwezi hamini hawakunielewa, ila nilicho kigundua kwa wale vijana ni kuwa hawana elimu kabisa na kingine mazingira wanayoishi hayawapi fursa ya kutambua kinacho endelea kwenye nchi hii..

Na watu kama hao ndio wengi kwenye hii nchi,hivi unategemea nini kwa watu kama hawa kuto kuipigia kura CCM?

Cha muhimu mimi naona ni kuwapa watu kama hawa elimu ya jinsi hii nchi inavyo nyonywa na CCM N'k ili watambue hali halisi, na kuhakikishia tukifanikiwa kwa hilo CCM ni bye bye!
 
Tunaomba kura yako Mganyizi.

Siyo yangu tu tarajieni kupata kura zaidi ya 50 toka kwangu, nikimaanisha toka kwa familia yangu ya mjini na vijijini, kesho kutwa na safiri kuelekea kijijini kwangu nitafanya ka sherehe kidogo
ambapo nitawaalika na majirani nitatumia na fasi hiyo kuwaelimisha wana kijiji wangu kuhusu umuhimu wa kura yao na ni jinsi gani watakavyo tumia kura yao kubadilisha maisha yao kwa kuchagua kiongizi wadilifu na makini ambaye ataweza kuwaletea maendelo.


Na kuakikishia tukifanya hivi kwa kila mtu wenye uchungu na hii nchi basi CCM haina chake hapa, Tafadhalini wazalendo wenzangu tutumie elimu hii tuliyo nayo kuwshawishi na wananchi wenzetu hakika tutafanikiwa hii vita.
 
Teh teh, haki ikifuatwa wananchi watapata wanachokitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…