John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Dkt. Nicephorus Rutebas ambaye ni Bingwa wa Magonjwa ya Mishipa ya Ufahamu anasema:
Maumivu makali ya kichwa kwa mgonjwa, anaweza kuumwa na kichwa muda mrefu na maumivu yakawa tofauti na maumivu ya kawaida, hata akimeza dawa haisaidii kupunguza makali, baada ya muda anaweza kuhisi kichefuchefu na kujisikia kutapika.
Ataona mkono au mguu unaishiwa nguvu kama vile unapooza, atapata ganzi kwenye mikono au miguu na mara nyingine anaweza kupata kifafa cha ukubwani, kuhisi kizunguzungu, Mabadiliko ya hisia na uchovu sugu.
Pia soma: Watu 360 wanapatiwa matibabu ya Saratani ya Ubongo kwa Mwaka