Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Nov 25, 2013 #1
Nelson Kileo JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 3,053 Reaction score 3,259 Nov 25, 2013 #2 umetoa somo short and clear .. tunashukuru .. ukipata na jinsi ya kuricover tuwekee ..
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Nov 25, 2013 #3 ni kifanyike sasa baada ya kuzijua hizi dalili..
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Nov 25, 2013 Thread starter #4 ndetichia said: ni kifanyike sasa baada ya kuzijua hizi dalili.. Click to expand... Ukisha jiona una dalili mojawapo kati hizo hapo juu nenda haraka Hospitali ukapime Mapigo yako ya moyo kwa usalama wako au waweza kumeza punje moja ya kitunguu Saumu kabla ya kwenda hospitali ili hiyo High Pressure yako kwanza ishuke.
ndetichia said: ni kifanyike sasa baada ya kuzijua hizi dalili.. Click to expand... Ukisha jiona una dalili mojawapo kati hizo hapo juu nenda haraka Hospitali ukapime Mapigo yako ya moyo kwa usalama wako au waweza kumeza punje moja ya kitunguu Saumu kabla ya kwenda hospitali ili hiyo High Pressure yako kwanza ishuke.