Dalili za mimba bila kuwa na mimba

Dalili za mimba bila kuwa na mimba

OCC Doctors

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
113
Reaction score
172
DALILI ZA MIMBA BILA KUWA NA MIMBA
▪Ni Mimba ya uongo inayofahamika kitaalamu kama (Pseudocyesis) ni muonekano wa dalili zote za ujauzito anazopata mwanamke wakati kiuhalisia hana ujauzito.
👉 Mwanamke anaweza kuwa na dalili zote za ujauzito kama kutapika mara kwa mara, shida ya kulala na hata kukosa hedhi lakini vipimo vikaonesha kutokuwepo kwa ujauzito.. Hii hali pia husababishwa na mvurugiko wa vichocheo mwilini.. (Hormonal imbalance)

Maswali // Ushauri
Karibu
 
Aaah Yani hii ilimkuta girlfriend wangu mmoja hivi duuu tulisukumana balaaa. Anatapika, haoni P but vipimo hamna kitu
 
Aaah Yani hii ilimkuta girlfriend wangu mmoja hivi duuu tulisukumana balaaa.Anatapika,haoni P but vipimo hamna kitu
Ndio, ni kwasababu Kichocheo cha [hCG] kinapatikana kupitia mkojo na damu pale ambapo mwanamke atakuwa na ujauzito tu,
 
Back
Top Bottom