OCC Doctors
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 113
- 172
Kichocheo cha [hCG] kinapatikana kupitia mkojo na damu pale ambapo mwanamke atakuwa na ujauzito tu,,Je ata akipima na urine pregnant test pia ikasoma positive, anaweza akawa hana.?
Ndio, ni kwasababu Kichocheo cha [hCG] kinapatikana kupitia mkojo na damu pale ambapo mwanamke atakuwa na ujauzito tu,Aaah Yani hii ilimkuta girlfriend wangu mmoja hivi duuu tulisukumana balaaa.Anatapika,haoni P but vipimo hamna kitu