Inawezekana kwa kweli.Kwahiyo hao nzige watagawana maeneo ya kuvamia wengine wanaenda magharibi mwa Kenya huko Uganda(karamoja) na wengine wanapandisha kuja Kilimanjaro!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
BBC ya saa ngapi ili nipakue huko YouTube...????Nimesikia BBC kuwa wapo karibu na hapo itakuwa noma sana walianzia Ethiopia
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nzige mwenyewe huyu mkuu???
Ni tofauti.Hivi hao wadudu si ndio sehemu fulani wanaita SENENE?!!!!
Hao ni kumwagia unga kwenye mimea tu na pindi watakapo tafuna mimea midomo ina Natana na kufa njaa FACT
Sent from my iPhone using Tapatalk