wanaunga juhudi za serikali ya awamu ya tano na chini ya RaisKuna kila dalili ya kutokea kwa nzige wanaoisumbua Kenya kwa sasa kuhamia Tanzania.
Mkoa wa Kilimanjaro haswa wilaya za Moshi (V), Siha na Hai. Nzige ni wengi kwa sasa, nimewaona Siha na Moshi V.
Ni vema Serikali ikachukua kabla ya tatizo kuwa kubwa zaidi.
Pia soma
i. Waziri Kenya aliwa kichwa na Uhuru kisa nzige
Bado hujaigusa kitimoto haki utasimulia hadi Twitter
Sniper sikuchokozi nakueleza ukweli.Acha uchikozi basi
Nakuheshimu
Respect
Sent from my iPhone using Tapatalk
Sniper sikuchokozi nakueleza ukweli.
Kama hujawahi kumla basi bado hujaujua utamu wa nyama.
.
Uko wapi mida hii mjini hapa nikupeleke mahala ukapate kilo moja yako swaaafi kabisa[emoji241]
Have a good evening pal 🙏Najua huwa unatupania sana but I will never provoke you in anyway
Be nice
Sent from my iPhone using Tapatalk
Have a good evening pal [emoji120]
hv nzige na senene ni wadudu tofauti au ni wale wale ?Kuna kila dalili ya kutokea kwa nzige wanaoisumbua Kenya kwa sasa kuhamia Tanzania.
Mkoa wa Kilimanjaro haswa wilaya za Moshi (V), Siha na Hai. Nzige ni wengi kwa sasa, nimewaona Siha na Moshi V.
Ni vema Serikali ikachukua kabla ya tatizo kuwa kubwa zaidi.
Pia soma
i. Waziri Kenya aliwa kichwa na Uhuru kisa nzige
Ni mzuri jamani
Hivi kuna tofauti ya nzige na panzi mkuu?! Naomba kuelimishwa hilo!Ndio nzige mwenyewe huyu mkuu???
Wa ngano
EwaaaMimi huwa najua kuwa huyu ni panzi ...enzi za utoto wangu nilikuwa na wawinda sana hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kila dalili ya kutokea kwa nzige wanaoisumbua Kenya kwa sasa kuhamia Tanzania.
Mkoa wa Kilimanjaro haswa wilaya za Moshi (V), Siha na Hai. Nzige ni wengi kwa sasa, nimewaona Siha na Moshi V.
Ni vema Serikali ikachukua kabla ya tatizo kuwa kubwa zaidi.
Pia soma
i. Waziri Kenya aliwa kichwa na Uhuru kisa nzige
Kwa wengi waliozaliwa mjini hawajui tofauti kati ya panzi na nzige. Panzi ni wadogo na hawaliwi. Nzige ni wakubwa na wanaliwa.Mimi huwa najua kuwa huyu ni panzi ...enzi za utoto wangu nilikuwa na wawinda sana hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni nzige na siyo panzi. Panzi ni wadogo na wana rangi ya brown. Panzi mara nyingi makazi yao ni chini ardhini na ni mara chache utawakuta kwenye miti. Wengi ambao hawakukulia shamba huita nzige panzi.
Hao uliuowaona huenda ni nzige wa kawaida. Kipindi hiki hata hawa nzige wa kawaida wako wengi kwani conditions za hali ya hewa na chakula zina-favour. Unajua hawa nzige wanaoshambulia mashamba ni tofauti na nzige tuliozoea. Wanatembea kwa makundi makubwa na wana uwezo wa kuruka mbali. Wakivamia sehemu ishindo chake siyo cha kawaida.
Huyo ni nzige na siyo panzi. Panzi ni wadogo na wana rangi ya brown.
Ndiyo nikakuambia wale SIYO panzi bali ni nzige. Ila watu wengi wamezoea kuwaita panzi. Tena hao watoto wa mjini wanaowaita balale kabisa siyo panzi bali ni nzige. Panzi makazi yao mara nyingi ni ardhini kwenye udongo na wadogo.Sio kila panzi ana rangi ya brown kuna ambao wana mpaka rangi ya kijani na mabawa yao ya ndani huwa yanakuwa na rangi tofauti tofauti '' Kuna panzi wengine ni wakubwa tu ....Tulikuwa tuna waita balale miguu yao kama ina miba hivi wanatabia ya kurusha mateke ndio defense yao ....Akirusha tege likikupata kwenye kidole anaweza kukutoboa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo nikakuambia wale SIYO panzi bali ni nzige. Ila watu wengi wamezoea kuwaita panzi. Tena hao watoto wa mjini wanaowaita balale kabisa siyo panzi bali ni nzige. Panzi makazi yao mara nyingi ni ardhini kwenye udongo na wadogo.