harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,968
- 6,920
Ndio hauo hao mkuu ila kwa sasa wapo kikazi na sio kimasikharaMimi huwa najua kuwa huyu ni panzi ...enzi za utoto wangu nilikuwa na wawinda sana hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Hao nzige wa madhara nao ni tofauti na nzige wa kawaida. Hao nzige wanaoshambulia mimea kwa kiingereza huitwa ''locusts'' na nzige wa kawaida huitwa ''grasshoppers''. Kimsingi locust na grasshopper wote ni jamii moja na wote ni nzige lakini tabia zao ni tofauti. Locust wanatembea kwa makundi makubwa na wana uwezo wa kuruka mbali wakati grasshopper wanaishi mmoja mmoja na hawana uwezo wa kuruka mbali.Aisee maybe '' But mbona hao kwetu walikuwepo na hawakuwaga na madhara yoyote Yale ''...!? Tofauti na nzige wanavyo zungumzwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay - hapo nimekuelewa sasaNi kweli. Hao nzige wa madhara nao ni tofauti na nzige wa kawaida. Hao nzige wanaoshambulia mimea kwa kiingereza huitwa ''locusts'' na nzige wa kawaida huitwa ''grasshoppers''. Kimsingi locust na grasshopper wote ni jamii moja na wote ni nzige lakini tabia zao ni tofauti. Locust wanatembea kwa makundi makubwa na wana uwezo wa kuruka mbali wakati grasshopper wanaishi mmoja mmoja na hawana uwezo wa kuruka mbali.
Mmh sidhani, mi naona wanafanana na senene hivi, ila ni jamii ya panzi hao hao tu.Hivi kuna tofauti ya nzige na panzi mkuu?! Naomba kuelimishwa hilo!
Mkuu hao tulikuwa tunaita bangu tata [emoji23]Hahaha mkuu na wewe umebaka sana panzi aise ...kumbe tupo wengi !!!
Kuna aina ya panzi Fulani hivi nilikuwa na wapenda sana walikuwa wakiruka wanalia taa taa taa ..tatata... Basi mlio wao ulikuwa unanifurahisha mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kama kweli ni Nzige serkali haina budi kuchua hatua maana majanga hayana vyama wala ukandaHuyu sio panzi
Mwangi Kiunjuri ametolewa kwa sababu za kisiasa sio nzige.kwa kifupi sana ni kwasababu yupo team Tanga tanga chini ya Deputy President William Samoei Ruto ambao hawakumuheshimu raisi wao na waka ji-envolve kwenye early campaigns za kutafuta urais 2022.Hawa nzige wamemuondoa waziri fulani huko Kenya wiki hii, hawa wadudu ni hatari sana.
. Waziri Kenya aliwa kichwa na Uhuru kisa nzige
. Nzige wa Uhuru wamla Kiunjuri
waje tu ili tuwafaidi maana ni kitoweo Bora sana kuliko senene
Sent using galaxy s10+
Kuwala ndio njia nzuri ya kuwapunguza 😊😊😊
Ni kweli mkuu, Nzige ni Hatari sana!!Kwa sababu wewe sio mkulima ndio maana unasema hivyo mimi nasoma hii habari huku moyo unadunda. Nina mpunga una mwezi mmoja shambani hao jamaa wakivamia wanaacha visiki tu ni kundi kubwa kama jeshi la ki Vietnam (kwenye movie) yaana bora ya viwavi jeshi lakini sio nzige.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nzige ni LocustHuyo ni nzige na siyo panzi. Panzi ni wadogo na wana rangi ya brown. Panzi mara nyingi makazi yao ni chini ardhini na ni mara chache utawakuta kwenye miti. Wengi ambao hawakukulia shamba huita nzige panzi.
Kama panzi ni grasshoppers na senene ni nini kwa Kiingereza?Nzige ni Locust
Panzi ni Grasshopper
Mimi nazungumzia nzige mkuu hawa waharibifu.
Kenya ndio tatizo kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asubuhi ile ile ilibidi niende mabogini kukagua na kuwaambia wenzangu balaa linalotunyemelea.
ni jamii hiyo hiyo...Kama panzi ni grasshoppers na senene ni nini kwa Kiingereza?
Ni vyema kuchukua tahadhari mkuu.Asubuhi ile ile ilibidi niende mabogini kukagua na kuwaambia wenzangu balaa linalotunyemelea.