Dalili za mlipuko wa nzige mkoa wa Kilimanjaro

Jamaa wanaoleta masihara humu, wanajua mapigo kumi ya misiri moja ni la nzige. Walikula kila mmea
 
Tumewamisi nzige, tuliwala sana miaka ile kijijini huku.... hebu wakuje haraka na kwa wingi itapendeza.

Bring it on 🦗🦗🦗[emoji39]
 
Ndio hao kuna mtu alieweka picha akisema ndie nzige. Wako kama wana rangi ya kahawia sema ukimkata vibaya vimiguu vyake vina miba anakuchoma na vimiba vyake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wamekulia ushuani hawajakamata balale

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umetoa ushauri na angalizo nzuri.
Naomaba tu kuuliza hiyo picha ulipiga huko moshi au umeiweka tu ili kuongeza ladha kwenye uzi wako.
 
Inawezekana tulikuwa tukicheza pamoja. Watoto wa kizazi hiki wanakosa mengi. Wale panzi siju hizi ni wachche sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…