Dalili za mwanamke aliye fika kileleni


wee jamaa nimekukubali, kati ya wote walio changia mada hii wewe majibu yako sina shaka nayo kabisa
 
Huwa napata siri zote za mafisadi akifika huko juu, Nyie mnadhani kafulila alipataje siri za eskloo ni kupitia kilele.
 
Mwingine huanza kung'ata meno

Juzi tu nimechepuka na mdada yamenikuta hayo. Eti leo anaulizia uwezekano wa mechi ya marudiano! Nimemwambia asubiri nimnunulie madude kama yale wanayovaa mabondia mdomoni kuzuia meno wakiwa ulingoni.
 
my girlfriend normally cries when she reaches orgasm... i like it so much.
 
Huwa napata siri zote za mafisadi akifika huko juu, Nyie mnadhani kafulila alipataje siri za eskloo ni kupitia kilele.

inamaana kafulila alimpitia mama wa kihaya.... na ndipo akapata info. kweli kileleni pabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…