Dalili za mwanzo israel mtoa roho

Emok Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
1,094
Reaction score
800
  • Wakuu leo nimekuwa nikijiuliza hivi dalili za kumendewa na Israel mtoa roho ni zipi?
  • Pia,hivi israel mtoa roho ni wa Mungu au wa shetani?
  • Utajuaje Israel kakuandalia visa ya kuzimu au peponi?
  • Hivi Israel mtoa roho unamuogopa?
Israel sio mlaika mzuri huyu
 
Hakuna kitu kinaitwa israel mtoa roho. Just a theory made by arabic religion based on hate for israel.
 
Ni ziraili sio Israeli na pia hakuna dude, jitu au kitu kama hicho!.hyo iliasisiwa na waarabu baada ya kuwa wanapokea kipigo toka kwa wayahudi kiasi cha kufikia kusema roho zao zinatwaliwa na Israeli na kila myahudi kwao akawa ni mtoa roho!!
Rejea chanzo cha kila kituo cha mafuta kuitwa Shell kwa sababu kampuni ya shell ndo walikua wa kwanza kuwekeza kwenye vituo vya mafuta hapa nchini!
 
Ah
 
Dalili kuu ukiona unashabikia ule mtaa wa lumumba bila kupenda moyoni mwako!

Ukiona kuwa unatamani kutoka upande pendwa kwenda upande mwingine kwa kununuliwa na ahadi ya vyeo

Ukiona wewe ni kijana wa 27yrs hadi 32 afu unashabikia chama kina 40+yrs
 
Hiyo roho ya mauti kuitwa Iziraili mtoa roho ni hekaya tu za Uarabuni na chuki baina yao na Israel baada ya kuambulia vipigo vikali wanapikuwa kwenye medani za kivita. Na sisi Waswahili tumejikuta tu tunaingizwa katika tamaduni na vita vyao.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…