Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Salaam.
Kwa wenye uelewa naomba mnipe dalili za mwanzo za TB
Nitashukuru kwa msaada wenu.
CD
Kwa wenye uelewa naomba mnipe dalili za mwanzo za TB
Nitashukuru kwa msaada wenu.
CD
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dalili za kifua kikuu ni kama zifuatazo:
Kukohoa mfululizo kwa muda wa wiki mbili au zaidi
Kutoa makohozi mazito au yaliyochanganyika na damu
Kutokwa na jasho jingi kuliko kawaida usiku wakati mtu amelala
Maumivu ya kufua
Kukosa hamu ya kula
kukonda na kupungua uzito wa mwili
Mwili kunyong'onyea na kuhisi uchovu bila ya sababu maalumu
Homa za wakati wa jioni
Kuishiwa na pumzi au kupumua kwa shida