Dalili za Ugonjwa wa Kifafa

Dalili za Ugonjwa wa Kifafa

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
 eg3v.png

Kuona maluweluwe kisha kupoteza fahamu

Kuanguka na kutupa miguu au mikono

Kukaza mdomo, kujing’ata na kutoa povu

Kutokwa na haja ndogo au kubwa

MUHIMU: Ukiona moja ya dalili hizi nenda haraka kwenye Kituo Cha Afya

Soma kwa kina: Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom