J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 May 31, 2021 #1 Kuona maluweluwe kisha kupoteza fahamu Kuanguka na kutupa miguu au mikono Kukaza mdomo, kujing’ata na kutoa povu Kutokwa na haja ndogo au kubwa MUHIMU: Ukiona moja ya dalili hizi nenda haraka kwenye Kituo Cha Afya Soma kwa kina: Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu
Kuona maluweluwe kisha kupoteza fahamu Kuanguka na kutupa miguu au mikono Kukaza mdomo, kujing’ata na kutoa povu Kutokwa na haja ndogo au kubwa MUHIMU: Ukiona moja ya dalili hizi nenda haraka kwenye Kituo Cha Afya Soma kwa kina: Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu
T tajiri tumbo kubwa JF-Expert Member Joined May 27, 2021 Posts 429 Reaction score 567 May 31, 2021 #2 Great article, thanks wengi wamejifunza kitu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 31, 2021 #3 Ahsante kwa taarifa...
Shing Yui JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 15,168 Reaction score 38,049 May 31, 2021 #4 Ngoja waje kukupa mwongozo...