Dalili za ujauzito

Joined
May 16, 2013
Posts
24
Reaction score
0
Natumai ni wazima wadau
Mada yangu inaomba nielekezwe juu ya dalii za ujauzito zinaanza kujionyesha baada ya siku au wiki ngapi baada ya tendo la ndoa???
Naobeni msaada wenu
 
Watu wanatofautiana kwenye muda wa kuanza kuona dalili,ila normally kama yai limerutubishwa inaamana mwanamke alikua wiki mbili before hajaanza siku zakenaamanisha kama mzunguko wake ni wa siku 28,huwa limekomaa na kuachiliwa siku ya 11-17.kwahivyo ndani ya hizo wiki mbili za mwisho ili kufikia hedhi ya mwezi unaofuata kama atakua kapata ujauzito dalili ya kwanza kabisa ni kukosa hedhi....ila pia wengine ndo huanza kuumwa matiti,kichefuchefu na kutapika hasa wakat wa asubui,kuchagua chakula nk....Muhimu kupima mimba mapema ili kuanza clinic mapema.....
All the best mkuu.......
 
Natumai ni wazima wadau
Mada yangu inaomba nielekezwe juu ya dalii za ujauzito zinaanza kujionyesha baada ya siku au wiki ngapi baada ya tendo la ndoa???
Naobeni msaada wenu

NJIA RAHISI NI KUCHUKUA MKOJO NA WAangalie ppt usifanye utra sound huwezi kuona kama ni changa. USITIE HOFU KWA DALILI LINAWEZA KUWA TATIZO JINGINE
 
Natumai ni wazima wadau
Mada yangu inaomba nielekezwe juu ya dalii za ujauzito zinaanza kujionyesha baada ya siku au wiki ngapi baada ya tendo la ndoa???
Naobeni msaada wenu

Inategemea mkuu mwingine siku hata ya 3 tu unakuta full kutapika na dalili zingine, mwingine hata miezi 2 no dalili
 
kuihakika zaidi ni baada ya wiki 3, yaani siku 21 hapo hakuna kukisia tena.
 
Na mwingine kwann eti baada ya siku kadhaa anasikia period yake lakini haitoki.
Je yaweza kuwa ni dalili mojawapo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…