hahahaha, usiongee kwa nguvu cookie atasikia.upo dear maana jana niliona una dalili ya kutuoka loh heri umesalimika ila punguza hasira mpenzi
mwanao uzee unaninyemelea. ngoja nizitafuteWe nawe ulikuwa wapi? nilishaweka mbona.........
Kufanyaje?
We nawe ulikuwa wapi? nilishaweka mbona.........
Husninyo angejua hizo dalili zinavyoweza kuhatarisha mahusiano yake wala asingeziomba!
naomba na dalili za manjemba
mmmmh! mwalimmaybe the wife starts somethings new because she is tired of the boring life you two are leading .....
or maybe she starts not trusting you because she has found out you are not trustworthy
madam unanitisha halafu mtambuzi kashaniwekea link.Husninyo angejua hizo dalili zinavyoweza kuhatarisha mahusiano yake wala asingeziomba!
just saying
:]
hahahaah The Boss aisee! kwao gee uende na gunia la mkaa tena? si watakubatiza uhauziboi? nasubiri at least nimiliki kabajaji bana ndio nikatize.hivi Kloro yale magunia ya mkaa ulipita nayo kwa kina GEE .????..LOL
......yah,ukweli mtupu...
naomba na dalili za manjemba