Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Hizi ni baadhi ya dalili zinazoashiria mpezi wako wa kike anataka penzi:-
- Ukimuuliza swali anakujibu kwa lugha ya ukali
- Akianza kukusemesha yeye ataongea kwa taratibu bila kujiamini
- Anaweza kukuuliza kitu kisichokuwa na maana yoyote na ukahisi labda ana akili za kitoto
- Anasahau sahau kitu alichotaka kuzungumza
- Akitembea anakuwa anatikisa makalio
- Sehemu uliyokaa, anakuwa anakufuata fuata
- Akikutazama anakulembulia macho
- Kama amekaa sehemu, anakuwa amezubaa
- Ukimtuma akuletee kitu anakuwa mbishi
- Anakuwa anajilaza laza
- Ukitaka kuondoka anakuzuia, au anakutafutia sababu usiondoke
- Anakuwa anakuita mara kwa mara chumbani
- Anakuwa anajifunua nua
- Anakuwa anaangaika angaika kwenye kukaa n.k