Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Habarini.
Kila siku tumekuwa tunaambiwa deni la nchi linahimilika deni linahimilika, tunakopesheka. Naogopa isije asubuhi moja tukashangaa tunaambiwa deni halihimiliki na hatukopesheki.
Naomba kujua ni dalili gani zikionekana au hesabu za madeni zikikaa namna gani ni ishara kuwa deni linaelekea kutohimilika.