Dalili zisizoeleweka Msaada plz

Oleni

Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
17
Reaction score
2
Nina mdogo wangu kwa muda mref amekuwa na dalili kama za kisukari, miguu mikono sehem za uso nashingo huwa znakufaganzi yaani akijishka anajiona very soft na pia mapigo ya moyo humwenda mbio then mishipa ya damu huwa inakaza na macho yanapoteza uangavu.

Nilimpeleka hospital akapimwa Hb >12mm/dl, pia na RBSugar ikawa 4.6 wakasema hyo hamna tatizo wakampa dawa za kupunguza mapgo ya moyo na Neuro supporter but stil tatizo bado lipo nikauliza hapa jf wakaniambia kwny vpimo kuna false negative na false postive hivyo tukarudia tena kumpima sukari ikawa 4.8.

Jaman nnaomba msaada nin chakufanya maana cjui pakuanzia naomba mnijuze ni maradh gan yanaweza kuwa chanzo cha haya.
 
Mkuu Oleni pole sana kwa hayo matatizo ya mdogo hujasema ulimpeleka Hospitali gani?ningelikushauri umpeleke Hospitali ya Taifa ya muhimbili wakampime tena kwa vipimo vyote na ikiwezekana apimwe na damu ndio itamuonyesha ana maradhi gani? Ikishindikana hapo rudi tena utupe Feedback tutajuwa ni ni cha kufanya.
 
Last edited by a moderator:

nashukuru mkuu mimi nilimpeleka Mwananyamala, ila kuingia muhimbili naona ni mpaka uwe na barua kutoka hospitali hucka au kuna uwezekano mwingne
 
Last edited by a moderator:
nashukuru mkuu mimi nilimpeleka Mwananyamala, ila kuingia muhimbili naona ni mpaka uwe na barua kutoka hospitali hucka au kuna uwezekano mwingne
Jaribu kwenda moja kwa moja muhimbili wanaweza kukusaidia Oleni
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…