Damas Ndumbaro atupwa jela ya soka miaka 7

alimuidhinisha okwi kucheza simba kimagumashi..malinzi ungemfungia maisha kabisa..pumbav!
 
TFF isiwababaishe watu kwa kutibu dalili badala ya maradhi yenyewe. Ijielekeze kwenye swala la msingi. Ndumbaru afungiwe asifungiwe, vilabu vimtume visimtume, haviko tayari kukatwa asilimia tano ya udhamini. TFF ilichoagizwa na Serikali sio kutafuta mchawi, ni kukaa na vilabu na kukubaliana juu ya swala la 5%. Inachotakiwa kutoa taarifa TFF sio nani kafungiwa au miaka mingapi. Swala ni: (a) wameshakubaliana na vilabu? (b) makubaliano hayo yanasemaje?
 
sasa wenyewe #TFF wameamua kujitoa ufahamu na kuamua kumparura Damas ndumbalo
 
alimuidhinisha okwi kucheza simba kimagumashi..malinzi ungemfungia maisha kabisa..pumbav!
Hata mimi nashangaa kwann huyu NDUMBA hakufungiwa maisha kabisa kutoshiriki mambo ya soka!!! alipindisha sheria huyu kwenye usajil wa okwi kutoka yanga kwenda simba, safi sana tff.
 
Hata mimi nashangaa kwann huyu NDUMBA hakufungiwa maisha kabisa kutoshiriki mambo ya soka!!! alipindisha sheria huyu kwenye usajil wa okwi kutoka yanga kwenda simba, safi sana tff.

Hata hiyo miaka saba ni sawa na kufungiwa maisha tu, kuwa na amani dudu limetolewa; asante TFF kwa maamuzi hayo mazuri aende huko kwenye mahakama za kawaida akabishane na washenzi wenzake.
 
nilitaka kushangaa tangu lini yanga ikashindwa kwnye ishu ya kisheria..kumbe sorce ni hili jambazi la sheria
Ndo hivo mkuu yahoo,
Ni hili jambazi NDUMBA ndo lilipindisha sheria ya kumuidhinisha okwi kwenda simba kutoka yanga,,
 
Hata hiyo miaka saba ni sawa na kufungiwa maisha tu, kuwa na amani dudu limetolewa; asante TFF kwa maamuzi hayo mazuri aende huko kwenye mahakama za kawaida akabishane na washenzi wenzake.
Yah! Simchezo, naona povu tu.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Malinzi alizungukwa na watu hatari sana bila kufahamu
 
Damas ndumbaro anaweza akaja kuwa Waziri wa Michezo huyu jamaa ni mpambanaji kwenye sports ameshakuwa wakala wa wachezaji msaada wa kisheria kwa wachezaji na clubs pia ikiwepo majimaji sema alikutana na ubabe wa rushwa akapigwa nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…