PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 646
- 501
Ila hapa ni chit chat....au mgeni wa JF?Huku siyo Fb bosi
Dah kukariri noma sana.....hapa ulijua love connect ama mmu ?Utoto bhana
Bwana ake ana maliza O level mwakaniAiseeee.....maisha marefu chit chat. Nimepamis sana. Ila, sema ndo hivyo sasa, now its my turn to serve my world, for it served me for so long! Am so grateful !
Sasa tufanye hv. Mtu mzima mishe zimeboa sana wiki hii. Nataka ku relax kidogo. Sasa bonge bonge nini mwanamke mithili ya Miss Natafuta (nadhani avatar inajieleza ni bonge); pls njoo nicheki fasta tuongee kisasa zaidi (no time to waste).
By the way, dunia ni sahani kubwa sana, ruksa kujipakulia tani yako. Kama mwembamba tusalimiane tu ile kishkaji ila usifanye sirias kuja for terms and conditions are against your wish!
Karibu.
Hahahahahahaha. Miss Natafuta njoo thibitisha hii kauliBwana ake ana maliza O level mwakani
Aaaaahhh ndo maana nikawatahadharisheni dunia sahani kubwa kila mtu ajipakulie.......ila kumbe we chembamba duh hunifai hata kwa wali.
KwendaAaaaahhh ndo maana nikawatahadharisheni dunia sahani kubwa kila mtu ajipakulie.......ila kumbe we chembamba duh hunifai hata kwa wali.
Nini tena....kwan ww chembamba ?