Msamiati
R I P
- Mar 6, 2011
- 1,063
- 700
Nipo ofisini hapa, imezuka hoja inayosema Mwana FA ni mwandishi mzuri zaid wa mashairi kuliko Stamina, kwakweli tumezozana sana. Wao wanadai eti nyimbo nyingi za mwana FA zimeasha misemo kwenye jamii,
lakini mimi hoja yangu kubwa ni ukali wa mistari ya Stamina nikajaribu kuwapa mifano kibao, Mwisho nikagundua kuwa ili uelewe mistari inayoshushwa na Stamina inahitaji angalau Degree 2.
Hebu nipeni mawazo yenu nani Mkali hapa kwenye uandishi wa mistari
cc: Mphamvu MR. CONFIDENT

Last edited by a moderator: