Nipo ofisini hapa, imezuka hoja inayosema Mwana FA ni mwandishi mzuri zaid wa mashairi kuliko Stamina, kwakweli tumezozana sana. Wao wanadai eti nyimbo nyingi za mwana FA zimeasha misemo kwenye jamii,
lakini mimi hoja yangu kubwa ni ukali wa mistari ya Stamina nikajaribu kuwapa mifano kibao, Mwisho nikagundua kuwa ili uelewe mistari inayoshushwa na Stamina inahitaji angalau Degree 2.
Hebu nipeni mawazo yenu nani Mkali hapa kwenye uandishi wa mistari
cc: Mphamvu MR. CONFIDENT
"Sinung'uniki sina viatu wengine....... ila jamaa anajua sana kuimba na ni wa long time kitambo japokuwa hata stamina mashairi yake yako poa.So kwangu mie kura yangu inaenda kwa binamu

"Sinung'uniki sina viatu wengine.......
Lady uliwapepeta madume bila salama, wavuvi uliwakeketa samaki wakaleta drama"
Nimegundua MwanaFA Tangu aimbe Mimi na mabinti madada wameamua kumtunuku mahaba, hapa wanaomfagilia ni madada tu, wekeni hapa mistari mikari aliyowahi kuandika au ndio hiyo ya viatu ?!
Msikilize MwanaFa kwenye hizi trackHivi hiyo mistari mikali aliyowahi kuandika Mwana FA ni Ipi hebu orodhesheni hata kumi tu tuone
Hivi wewe si umeomba ushauri baada ya huko kushindwana?Hayo ndio mawazo yetu sasa usitake kutulazimisha kuwa stamina mkali ili hali mambo yanajieleza.
Hivi hiyo mistari mikali aliyowahi kuandika Mwana FA ni Ipi hebu orodhesheni hata kumi tu tuone

Naomba nisikupotezee muda kukuwekea mistari unacho takiwa ni kusoma comments za wadau utapata majibu! Ni aibu kumlinganisha Stamina Mwanafalsafa
Stamina size yake ni Msodoki!