Damn! Unaanzaje kumfananisha STAMINA na FA, Mnanioffend Brothers

Naomba nisikupotezee muda kukuwekea mistari unacho takiwa ni kusoma comments za wadau utapata majibu! Ni aibu kumlinganisha Stamina Mwanafalsafa

Stamina size yake ni Msodoki!

Haaaaahaaaa cuzzo uyu jamaa muache aendelee kuna kitu utagundua duh kasema Fa hamuwezi hata Msodoki ngoja tuendelee kumsikiliza sipati picha huo ubishi ofisini kwake ningekuwepo lazima ningem-photocopy kwa hasira.
 
B alishasema..
Nasema tu nasema sio lazima hata muelewe/
I am so ahead of time acha tu nizungumziwe/

Sishangai jamaa kutomuelewa
 
Sasa una uliza au unabishana tu?


hebu kafurahie kwanza video ya kiboko yangu halafu uje tena hapa
 
Dah huyu atakauwa ni madogo waliomaliza form four baada ya ule mpango wa kata!! BTW kumfananisha FA na STAMINA ni kumtotendea haki FA.
Hawa watoto wa siku hizi wana mambo sana nishawakuta wakisema STAMINA ni mkali kuliko Prof.Jay! Kulingana na umri wao sikushangaa sana.
 
Kumbe na wewe una ofisi?

Angalieni punguani hili, Unaacha kujadili mada unaanza kunijadili mimi kuonesha wewe ni mweu kiasi gani, au unatafuta mume ? Kwani We unashinda kijiweni au ... !? Mijitu mingine bwana ..... Au unafikiria ofisi mpaka milenium tower ? Hata na sisi tunaotengeneza vibatali tunaofisi zetu vilevile panya road wewe.
 
stamina mwenye mistari" hata mzungu mweupe ana kivuli cheusi" ndo wA kumfananisha na FA??...kila mstari wake ana anaweka kama...
 
Nilishakwenda shule bila viatu!
Nishatoa funza zaidi ya buku!

Daah! Nimepatikana! Huyu sch mate A level! Yule homeboy kitaa Morogoro! Keep good music alive!

Teh! Mkuu kura yako sijaona ilipodondoke a
 
HAMIS MWINJUMA NI MWANDISHI MZURI TATIZO NI KUGEUZWA ZIPU LA POCHI NA KUSAGA AND Co.
 
Ungejua hayo maneno yake ya mwisho I meant last paragraph ungejua kura yake amempa nani ! keep good music alive though unatumika vibaya na Rugay shit.
Teh! Mkuu kura yako sijaona ilipodondoke a
 
Deo Corleone mambo vipi mkuu kitambo sana ! dah nashindwa ata kukujibu sina tafiti sahihi hii kwa sababu ya geographical location and too much busy kufuatilia nani yupo na nani hayupo upande wa mawingu. Thanx.
msanii gani ukimtoa Jide hayupo kwenye hiyo list ya kina kusaga?
 
Last edited by a moderator:
Deo Corleone mambo vipi mkuu kitambo sana ! dah nashindwa ata kukujibu sina tafiti sahihi hii kwa sababu ya geographical location and too much busy kufuatilia nani yupo na nani hayupo upande wa mawingu. Thanx.

we good,we cool!! wasanii wote hawapindui pale mawingu!!

unawajua wale mapacha wa ant virus vinega?


wale walienda kupiga magoti kwa Ruge baada ya kupigika kitaa.


ni mentality ya wasanii wetu kila wakishindwa lawama kwa mawingu na wanaamini hawawezi kutoboa bila wao!!


let's back to the topic
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mkuu nimekupata pamoja sana.
 

kaka tuchekiane basi
 
Naona mmechoka kumfananisha diamond na ally k, now mnaanzisha mtafaruku mwingine acheni ulimbukeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…