lakini unasemaje kuhusu huyo sister?
mie napenda wanawake dizaidi hizi
kwanza awe na PESA ni muhimu sana kwangu hilo
pili awe mrefu kuliko mimi na kwa kweli Rachel ni Tall...sababu naenda kwenda nao kwenye candle light dinnerrestaurants ili ni just show off
Tatu awe na damu kama ya kiarabu au kilatina kwa sababu gharama ya kutoa pesa za mikorogo nitakuwa sina
Nnne awe na nywe singa...hivyop gharama za kununua zile nyewe feki nitakuwa sina
Tano ajue at least lugha 4 ...hiyo ni mihumu sana kwangu na it doesnt matter hata kama mie najua moja
Sita awe at least M.A if not doctorate, na akizungumza lazima aonekane ana IQ nyingi, na ajue kuwa mimi japo ni masikini i have expensive and good taste of things such as short breaks,sailing na of course art
saba, awe anasoma the Times of London if not NY Times on WEEKEDAYS lakini awe tayari kusoma Newsweek au Economist over the weekend
Nane awe anafanya mazoezi...it doesnt amtter kama mimi nina kitambu
Tisa, ni lazima ajue mamabo ya ice skating, awe ana enjoy bike rides na bila kusahau awe cultured
Kumi, please refer to number 1
halafu mnashangaa naitwa Brazameni! ma sister wetu wa kibongo unfortunately huwa wanashindwa kukeep up with my demands!
I hope sijafungua Pandora's box