Njema kabisa
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 699
- 238
Naombeni kufahamu uzuri na ubaya wa damu Group O wadau, karibuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unao uwezo wa kuwaongeza magroup yote isipokuwa wewe ni lazima umpate mwenzio mwenye group hilo!!
Na je kuna magroup ya dam ambayo hushambuliwa zaid na magonjwa? Kama ndiyo ni yap yanashambuliwa na niyap hayashambuliw sana na magonjwa
Ni blood group O positive au negative?
Ukija hakikisha hauoi wa group o
Mkuu unataka kuhama group nini??
Inaweza kusababisha blood clottingHivi ni nini kitatokea endapo mtu ataongezewa damu ambayo sio compatible na yake?