Damu Group O positive

Wewe unao uwezo wa kuwaongeza magroup yote isipokuwa wewe ni lazima umpate mwenzio mwenye group hilo!!
 
Na je kuna magroup ya dam ambayo hushambuliwa zaid na magonjwa? Kama ndiyo ni yap yanashambuliwa na niyap hayashambuliw sana na magonjwa
 
Hakuna kundi la damu linalosemwa huwa linashambuliwa sana na magonjwa but body immunity ndo ina matter group o ni group zuri cause ni universal donor but t does recieve from ts own group also the toughest group to find ts donor or recipient ni group lolote ambalo ni rhesus negative samahani wana jamvi hiyo ni kwa ufupi
 
Marekebisho kidogo;
Wewe unao uwezo wa kuwaongeza magroup yote ambayo ni POSITIVE (Rhesus positive) isipokuwa wewe ni lazima umpate mwenzio mwenye group hilo!!
 
💉BLOOD GROUP COMPATIBILITY 💉

What?s Your Type and how common is it?

O+ 1 in 3 37.4%
(Most common)

A+ 1 in 3 35.7%

B+ 1 in 12 8.5%

AB+ 1 in 29 3.4%

O- 1 in 15 6.6%

A- 1 in 16 6.3%

B- 1 in 67 1.5%

AB- 1 in 167 .6%
(Rarest)



Compatible Blood Types

O- can receive O-

O+ can receive O+, O-

A- can receive A-, O-

A+ can receive A+, A-, O+, O-

B- can receive B-, O-

B+ can receive B+, B-, O+, O-

AB- can receive AB-, B-, A-, O-

AB+ can receive AB+, AB-, B+, B-, A+, A-, O+, O-

This is an important msg which can save a life! ..
: Your Blood group also speaks about you.
🅰(+) : Good leadership.
🅰(-) : Hardworking.
🅱(+) : Can Sacrifice for others and very ambitious, tolerance.
🅱(-) : Non flexible, Selfish & Sadistic.
🅾(+) : Born to help.
🅾(-) : Narrow minded.
🆎(+) : Very difficult to understand.
🆎(-) : Sharp & Intelligent.
 
Blood group O negative ana uwezo wa kutoa damu kwa mtu yeyote yule isipokua yeye anapokea toka kwa O negative tu. Na blood group O positive anatoa kwa wenye blood group positive tu na yeye anapokea toka kwa O positive na O negative. Nahis utakua umeelewa kidogo.
 
Hivi ni nini kitatokea endapo mtu ataongezewa damu ambayo sio compatible na yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…