Damu inataka rhumba, comedy...msaada plz jinsi ya kutoka!

Mtambob

Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
40
Reaction score
1
Kichwa cha hbr kinajieleza tosha!....kw miaka ss nimekua nikipenda nyimbo za boringo hasa za kikongo toka kw koffi na ivi karibuni kw felly gola na fally ipupa.natamani niwe mwimbaji cku 1 wa dizaini hy ya muziki,ttz mfumo mzm wa huo mziki bd cjaujua ipasavyo na kwa yyt mwana jf mwenye ujuzi plz anisaidie.upande wa pili napenda comedy hasa ya kimyakimya km mr bien....swala je nitaanzaje kutoka na kutambulika?.plz mwana jf yyt mwenye fani hy anisaidie.
 
hebu upload kazi yako hata moja hapa then tujue tunakusaidiaje otherwise nenda kamuone Patcho Mwamba au Mzee Majuto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…