makusanyo Member Joined Dec 27, 2017 Posts 10 Reaction score 6 Dec 30, 2017 #1 Habari za majukumu wakuu, kwa wale wataalam wa afya. Je ni kawaida kwa mwanamke kuwa na damu inayoteleza wakati anapoanza siku zake ( menstruation cyle)? Tafadhali naomba msaada
Habari za majukumu wakuu, kwa wale wataalam wa afya. Je ni kawaida kwa mwanamke kuwa na damu inayoteleza wakati anapoanza siku zake ( menstruation cyle)? Tafadhali naomba msaada
UMASIKINI BWANA JF-Expert Member Joined Oct 17, 2013 Posts 942 Reaction score 567 Dec 30, 2017 #2 Yawezekana zimechanganyika na damu na mbegu za kiume