Damu kutoka kwenye chuchu

Gugus

New Member
Joined
May 12, 2017
Posts
4
Reaction score
1
Nini inasababisha kutoka damu kwenye chuchu ya ziwa wakati unaingia kwenye siku zako za mwezi
 
98% hiyo ni kansa, wahi Hospital ukacheki.... Pole sana mkuu. Ukitoka tupe mrejesho
 
Nenda hospital, tena kesho wahi mapema. Iwe n hospital ambayo ina wataalam wazuri
 
Mimi iliwahi kunitokea nakumbuka nlipokia form 2 ila haikutoka damu,ilikua ni maji meupe meupe,baadae yakabadilika yakawa kama usaha,kwenda kuchek it wasnt somethng serious,io ya damu mm sijawah isikia
 
Kansa ya tit huwa mara nyingi inaambatana na damu kutoka without maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…